Jubilei ya Miaka 25

Sr. Josephine buliga akihamasisha ununuzi wa Kitenge cha masista Wabenediktini kilichoandaliwa kwa ajili ya jubilei
Kitenge cha masista wabenediktini kwa ajili ya jubilei
Wajubilanti pamoja na mama mkuu wakiwa tayari kwa maandamano kuelekea kanisani siku ya kilele 15.7.2023